Nataka kununua godoro

Vipi huku hakuna uchakachuaji? Kwamba wanaweza kuandika density 23 kumbe ni chini ya hapo?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

Hahaha hapo sijui lakini sidhani kama wanajiamulia tu, labda wale wanaokopi (fake)…. kama ni product halali ya kampuni husika lazima ikidhi kiwango cha kampuni husika na bila shaka kuna mamlaka zinazokagua na kusimamia ubora huo.
 
Ahsnte mkuu,maelezo mazuri.
Lkn kuna jamaa yangu ashawah nunua godoro 5 kwa 6 kwa bei ya 150000. Ilikuw Mwanz kna kiwanda kipo mkuyuni alinunulia hapo.
Pia ashawah nunua kiwandani kbs Dodoma hapo.huend kuna ahueni kdg kuliko dukan
Labda kiwanda kitakuwa kina duka lake nje

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Umesahau na GSM FOAM mkuu [emoji4]
 
Vita supreme 5x6
Inchi 6?
Inchi 8?
Inchi 10?
Naomba kujua gharama mkuu
Vita supreme zipo aina mbili ipo plain na nyingine ni draft


Bei za 5x6 draft
Inchi sita ni 280000
Inchi 8 ni 320000
Inchi 10 ni 360000
Inchi 12 ni 400000



Na plain

Inchi sita ni 260000
Inchi 8 ni 295000
Inchi 10 ni 330000
Inchi 12 ni 370000

Karibu zote tunazo 0763542515
 
Vita supreme zipo 0657050325
 
Yepi magodoro bora kabisa kwa mlingano kati ya haya
  1. Dodoma
  2. Vita
  3. Tanfoam
 
Sku zote k2 kizuri ni chenye gharama,kwahyo angalia godoro linalouzwa bei ya juu hapo hilo ni mzuri bila kujali kampuni
Jana tu Kilimanjaro Express amewakatia watu ticket kwa 44K Moshi to Dar ambayo ni nauli ya Moshi Dar halafua anawapakia kwenya madebe ya 2006
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…