Nataka kununua godoro

Chukua vita supreme ila usijichanganye kuchukua vita foam au vita raha. Chukua SUPREME.
Hata vita raha halina shida mkuu maana ujazo wake ni 23 ambayo hata comfy anayo hiyo

Kiufupi kwenye kununua godoro pata ushauri kwanza
Tupo kuwahudumia godoro za aina zote zipo

Namba yetu 0657050325
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…