Nataka kununua hii Escudo 2016, makadirio ya kuwa nayo mkononi kias gani?

Nataka kununua hii Escudo 2016, makadirio ya kuwa nayo mkononi kias gani?

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
14,084
Reaction score
8,384
IMG_7758.jpg

IMG_7757.jpg

Wakuu baada ya kutumia version ya nyuma kwa miaka10, sasa ninataka kubadili model ninunue hii.

Uzoefu upoje kwenye kodi ikizingatiwa ni gari ina miaka6 toka iundwe na costs zake ni$10,000 hadi Dar.

Asante in advance
 
Ushuru wa TRA Mil 18.5

47A38E04-83CD-4A1B-B8BA-A38AF0A6AC3C.jpeg

Kwahiyo jumlisha CIF ya Mil 26 unachezea Mil 44.5 na mazaga zaga mengine andaa Mil 47-50 hivi.
 
Back
Top Bottom