Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,384 Jul 23, 2022 #1 Wakuu baada ya kutumia version ya nyuma kwa miaka10, sasa ninataka kubadili model ninunue hii. Uzoefu upoje kwenye kodi ikizingatiwa ni gari ina miaka6 toka iundwe na costs zake ni$10,000 hadi Dar. Asante in advance
Wakuu baada ya kutumia version ya nyuma kwa miaka10, sasa ninataka kubadili model ninunue hii. Uzoefu upoje kwenye kodi ikizingatiwa ni gari ina miaka6 toka iundwe na costs zake ni$10,000 hadi Dar. Asante in advance
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Jul 23, 2022 #2 Ushuru wa TRA Mil 18.5 Kwahiyo jumlisha CIF ya Mil 26 unachezea Mil 44.5 na mazaga zaga mengine andaa Mil 47-50 hivi.
Ushuru wa TRA Mil 18.5 Kwahiyo jumlisha CIF ya Mil 26 unachezea Mil 44.5 na mazaga zaga mengine andaa Mil 47-50 hivi.
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,384 Jul 23, 2022 Thread starter #3 Mad Max said: Ushuru wa TRA Mil 18.5 View attachment 2301184 Kwahiyo jumlisha CIF ya Mil 26 unachezea Mil 44.5 na mazaga zaga mengine andaa Mil 47-50 hivi. Click to expand... Asante sana kaka, ubarikiwe.
Mad Max said: Ushuru wa TRA Mil 18.5 View attachment 2301184 Kwahiyo jumlisha CIF ya Mil 26 unachezea Mil 44.5 na mazaga zaga mengine andaa Mil 47-50 hivi. Click to expand... Asante sana kaka, ubarikiwe.