Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,270
- 44,403
Epiccomputers wapo city mall, laptop city wapo moroco stand ya mwendokasi ama hata mjini wapo, nyuma ya Jengo la vioo lile liliokaa Tenge, Freedom jmall mjini ama Kkoo uhuru na Congo pia unaweza tumia maduka ya kariakoo uhuru ama mtaa wa likoma.Mkuu naomba unifahamishe duka wanapouza mpya za kuanzia laki 7 kwa hapa Dar
Ndio anakupiga mchana kweupe, i5 gen ya kwanza thamani yake labda laki 2, siku hizi gen ya 3 unapata hadi chini ya laki 3.KUNA JAMAA ANATAKA KUNIUZIA HII MASHINE, 500K VIPI NAPIGWA AU
View attachment 1261374
View attachment 1261376
View attachment 1261377
View attachment 1261378
Kitu kikishaitwa used hakiwezi kuwa in a goog condition trust me, we nenda jichange mpk 750+ na kuendelea ununue mpya nzuriambayo ni mtumba(used)
battery life?Ninayo yangu njoo nikuuzie
Ni hp 2560p
Core i5,
HDD 320 gb
processor 2.55
Nakuuzia laki tatu karibu
Ninayo ACER 500GB .Betri zaid ya saa 4😛iga simu 0712652110 Dar Tsh 375000iNa je kwa bei hiyo mkuu naweza kupata laptop ya specifications gani ambayo ni mtumba(used) ila iliyo katika good condition yani ni kama new kule kariakoo. Nataka kati ya DELL,HP au Lenovo ...
Hakuna unayemjua yuko online kwa sie wa mikoani?Mkuu tafuta 6th ama 7th gen Intel processor yoyote Kati ya i3/15/i7
Processor zenyewe Ni i3 6100U, i3 7100u, i5 6200u, i5 7200u, i7 6500u, i7 7500u.
Kwenye ram na HDD kusikusumbue Sana hivyo vitu vinaongezeka, siku hizi Kuna wajanja mjini wanachukua laptop za kizamani zenye thamani ndogo wanaziweka ram 8GB na HDD 1TB na kupiga watu hela ndefu, hivyo epuka kuchagua laptop kwa kuangalia ram na HDD pekee.
Maeneo ya kuzipata used kwa kkoo angalia mtaa wa likoma na Agrey kwenda benki ya mkombozi na kwenda kanisa la KKKT Kuna maduka mengi Sana pale ya Hivi vitu, unaweza ukaanza na Kaale computers ukikosa nenda jengo linaangalizana na benki ya mkombozi floor ya kwanza pia Kuna maduka ya computer.
Na ukitaka zenye values zaidi gen za zamani Kama ya 3 ama ya 4 angalia discountkubwa inaangalizana kituo Cha polisi msimbazi. Wao Ni around laki 3 kwa i5 za zamani.
Kuangalia specs kwenye computer nenda my computer Kisha right click Kisha chagua properties.
Alternative click start halafu andika neno dxdiag.
hao discountkubwa wapo online wacheki fb ama google website yao
Wana laptop mpya kwa hiyo budget ya lak 7 or 8?hao discountkubwa wapo online wacheki fb ama google website yao
hao used tu mkuu,
Msaada hapo kwenye hiyo Sony;inaonyesha wapi ni gen ya kwanza?Ndio anakupiga mchana kweupe, i5 gen ya kwanza thamani yake labda laki 2, siku hizi gen ya 3 unapata hadi chini ya laki 3.
Unaangalia hizo no gen ya kwanza inakuwa na namba tatu (mamia) na maneno yake nyengine yanakaa kwa nyuma mfano hio hapo juu ni i5 M520Msaada hapo kwenye hiyo Sony;inaonyesha wapi ni gen ya kwanza?
Mkuu kuna mtu anataka kuniuzia hii kwa 400,000/= unanishaurije? je hii gen ya ngapi?Ndio anakupiga mchana kweupe, i5 gen ya kwanza thamani yake labda laki 2, siku hizi gen ya 3 unapata hadi chini ya laki 3.
Ni ghali mkuu ram 2gb tu? Na hio ni 2nd gen.Mkuu kuna mtu anataka kuniuzia hii kwa 400,000/= unanishaurije? je hii gen ya ngapi?
Ni ghali mkuu ram 2gb tu? Na hio ni 2nd gen.
Hapo labda kama ina advantage nyengine kama vile kioo cha full hd ama ina dedicated graphics etc.
Jaribu kusearch neno dxdiag then kitakuja kiprogram kifungue kuona specs zaidi hasa za display na graphics.
Laptop ya kisasa haiangaliwi kwa duka mkuu, unakagua specification.Na Omni Computers na Maisha Computers wao vipi laptop zao ni za kisasa na ni nzuri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naelewa nimeuliza tu kama kuna unafaham ndio maana nimeweka alama ya kuuliza.Laptop ya kisasa haiangaliwi kwa duka mkuu, unakagua specification.
Ukifika dukani angalia aina ya cpu, gpu, ram etc
Kwenye duka fuatilia tu vitu kama risiti na warranty.
Hizi taarifa zimenisaidia pakubwa ila mie niko mbali na dar unashauri vipi mzazi??(Shinyanga)Mkuu tafuta 6th ama 7th gen Intel processor yoyote Kati ya i3/15/i7