chama mpangala
JF-Expert Member
- Sep 3, 2015
- 549
- 841
Hapana, hakikisha tu unanunua kwa bei ndogo
1000*10000 means 10tons =10,000,000Hivi unanunua mchele let say kwa 1000@kg! May...then dec uje uuze kwa 1800-2000@kg! Means nahangaikia 1000@kwa miezi yote hiyo!!!!!!!!
Tatizo muda boss! Unaizika hela yako kwa muda mrefu sana .anywys kupanga ni kuchagua1000*10000 means 10tons =10,000,000
Unazani hailipi nakuna watu wananunua mpaka tons 50
Tatizo muda boss! Unaizika hela yako kwa muda mrefu sana .anywys kupanga ni kuchagua
Jaribu kuiweka hiyo hela BANK kwa kipindi kama hicho afu kachukue faida uone
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu Kahama mkuu njoo na stoo nitakupa uhifadhi ila unipe nami dili la soko mahali pa kuuzia
JARIBU KUFANYA BIASHARA NYINGINE ALAFU BAADA YA MIEZI HIYO HESABU UNA SHILINGI NGAPI!..UJIONE NINI MAANA YA NENO UFALA
Karibu sana ndio utanzania wenyewe mkuu anaweza kunitoa pia huenda kuna sehemu ambayo mie sina maujanja yeye akawa nayoBonge ya fursa hii
Karibu sana ndio utanzania wenyewe mkuu anaweza kunitoa pia huenda kuna sehemu ambayo mie sina maujanja yeye akawa nayo
Njoo pm bossKaribu Kahama mkuu njoo na stoo nitakupa uhifadhi ila unipe nami dili la soko mahali pa kuuzia
Mchele kuhifadhiwa hauharibiki?Hongera sana mkuu.
Wala hakuna madhara ukinunua mchele na kuhifadhi kwa ajili ya mwakani.
Lakin ungenunua mpunga ukahifadhi itakuwa poa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app