Nataka kununua Mitsubishi Canter

Nataka kununua Mitsubishi Canter

Achana na hiyo gari. Kama vipi jiongeze utafute Mitsubishi Fuso Tipper ya tani 3 na nusu iliyo katika hali nzuri. Pikipiki za miguu mitatu (TOYO) zimeharibu sana biashara ya hizo Canter.

Unless otherwise unataka kuitumia kwa matumizi yako binafsi.
 
Back
Top Bottom