Nataka kununua mtihani Wa form4

Je kwani NECTA ya sasa ni muda gani wa ukomo kwa wenye hitaji kama lako??? Piga simu NECTA ili uwaulize, kisha utuletee majibu waliokupa.
 
Visa ni travel agency kwa bro wng
...nakuulizia khs mtihani wa form4 nimeulizia kwa ajili ya mdogo wng mkuu
 
achana habar ya kununua mtihan nakushaur kanunue chet kabisa
 
Nitawahi kwa mwaka Hui!??



Ongea na Baba Yako kwanza !

Afu muda unaopoteza kufanya sifa hapa ni bora ukasome !
Kama umeshindwa sana basi wasaidie wazazi wako kazi

Muda wako wakuwa JF bado haukuruhusu ! Usione watu join date ni 2013 mwishoni/ 2014 mwanzoni jiulize walikuwa wanafanya nini ! You m----r ----er you think you would Run this game ?

Ukitaka Mjinga afeli zaidi mpe Gaka !
 
Cheti kitapatikana original kabisa lilioko ktk system¿?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…