wewe utakuwa mbabaishaji.unatakiwa utafute hela kwanza halafu uombe msaada wa kutafutiwa nyumba.
mwisho utakuja kutafuta mtoto kwanza ndipo utafute mke.wake up man
wewe utakuwa mbabaishaji.unatakiwa utafute hela kwanza halafu uombe msaada wa kutafutiwa nyumba.
mwisho utakuja kutafuta mtoto kwanza ndipo utafute mke.wake up man
siyo wote wanaosoma wanaelewa wengine wanalewa na sio wote watazamao wanaona wengine ni vipofu na sio wote wafumbao macho wamelala wengine wanatafakari.Mbona yuko clear sana, anachotaka asaidiwe ni benki gani anaweza kupata mkopo wa nyumba, nyumba ipo tayari na wala haitaji kutafutiwa nyumba.
mbona yuko clear sana, anachotaka asaidiwe ni benki gani anaweza kupata mkopo wa nyumba, nyumba ipo tayari na wala haitaji kutafutiwa nyumba.
kaka hujanielewa suala la nyumba si rahisi kiasi hicho na kama lingekuwa rahisi hiyo nyumba usingekuta inapigwa mnada na benk.
Vilevile usingekuta mpangaji kwa sababu kila mtu angekuwa nayo.
Cha kumshauri akae chini na baba yake ampe ushauri nyumba yao aliipataje na amweleze huo mpango aone baba yake atampajibu gani?