Nataka kununua simu kariakoo mkononi tu.

Jr. Gong Mira

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
1,281
Reaction score
1,300
Habari zenu.
Kuna simu nataka kuinunua mkononi tu mwa mtu maeneo ya kariakoo
Naomba ushauri wenu wadhoefu wa haya mambo.
 
zile simu za mkononi pale kariakoo haziuzwi
we utaona wanakuletea hadi kukagua unakagua ila haziuziki
utajutia hela yako

umetoka mkoa gani ?
 
Niulize mimi kwanza, nilinunua kipande cha sabuni kwa 40K ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila ni miaka 10 iliopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…