delusions JF-Expert Member Joined Jan 11, 2013 Posts 5,001 Reaction score 1,292 Jan 16, 2013 #1 Wandugu nahitaji kununua gari suzuki carry je inauzwaje na inaweza kunisaidia kuingiza kipato changu kama nitaiweka barabarani ikodishwe wenye ideas pse msaaada wenu nawasilisha wazee.
Wandugu nahitaji kununua gari suzuki carry je inauzwaje na inaweza kunisaidia kuingiza kipato changu kama nitaiweka barabarani ikodishwe wenye ideas pse msaaada wenu nawasilisha wazee.
Clarity JF-Expert Member Joined Jul 6, 2010 Posts 1,963 Reaction score 2,917 Jan 16, 2013 #2 Upo wapi maana ushauri utategemea ww upo wapi(kwa maana ya mkoa)