Nataka kununua Suzuki Samurai

Nataka kununua Suzuki Samurai

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
277
Wazoefu wa magari naombeni uzoefu wenu juu ya haka kagari upande wa matengenezo yake kama upatikanaji wa spea zake na ustahimilivu pia.Ni nini cha kuzingatia hasa maana nahitaji kununua used kwa katakakonipendezea toka kwa mtu atakayekuwa nako.
 
Kuna msela wangu dingi yake alikua nacho hicho kisamurai,visiting day mshua wake akija nacho shule msela analala mbele kwa kuona noma,maana magari yaliyokua yanakua pale parking si mchezo,hahah

Ila kina roho ngumu sana kile kigaro,sometimes nahisi hata kinaweza kutumia mafuta ya transformer badala ya petrol/diesel hahah.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Samurai kuipamba tuu
Gari kali sana View attachment 2935431View attachment 2935432
Screenshot_20240309-182812.jpg
 
Back
Top Bottom