profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
asante mkuu....Carina ti sio gari ya kuuliza ubora wake maana inajulikana Kwa ubora,madhubuti na uimara .... tafuta nyuzi zangu humu nimeipa sifa zake mara nyingi Sana.
Ukinunua niambie nikupe mbinu ya utunzaji wake
Hio gari kama ingekuwa mbao ni level za mninga 🤣 Gari iliotengenezwa na Toyota precision in mindNataka kununua, toyota carina ti mkononi kwa mtu, naomba ushauri kwa wazoefu wa magari/engine, juu ya
1. Uimara wa gari
2. Upatikanaji wa spare
3. Ulaji mafuta
4. Bei za spare kuwa juu au kawaida
5. Uvumilivu wa gari, barabara za vumbi.
6. Gari kuhimili safari ndefu, mfano Dar to Kigoma.
1.8 manual?Ninayo hii chuma carina Si haijaniangusha ni mninga aswaaaa
asante mkuuHio gari kama ingekuwa mbao ni level za mninga 🤣 Gari iliotengenezwa na Toyota precision in mind
Ninayo hii chuma carina Si haijaniangusha ni mninga aswaaaa
Automatic1.8 manual?
YANI HIZI GARI NI BALAAA yani kuna sister angu alikuwa nalo sijawahi muona akilipeleka kwa fundi wala kulalamika limesumbua kitu mwaka wa 8 huu..hii brand ni balaaa....!!Ni roho ya paka.
Mrith Wa carina ni ALLIONMrithi wake kwa saloon cars ...itakua ni premio
Premio na allion hamna tofauti ...allion ni sport version tuMrith Wa carina ni ALLION
Premio na allion hamna tofauti ...allion ni sport version tu