Nataka kununua tractor hii, ushauri tafadhali

Mtumba ni ngumu kujua kidogo. Ila 5 to 8 ltrs per eka. Nakupa makadirio hayo, maana hujui nini kibovu, japo utumiaji wa mafuta na hali ya shamba inachangia kwa kiasi kikubwa sana
 
Spea za massey ni nyingi sana wala usiwe na wasiwasi kuhusu hilo. Lizingatie service sana, kubadili oil na oil filters kwa wakati pamoja na vitu vingine. Cheza na masaa ya service. Sio kwasababu linatembea ukaona haina haja ya service, utalikimbia.
 
Thanks!!
 
Mtumba ni ngumu kujua kidogo. Ila 5 to 8 ltrs per eka. Nakupa makadirio hayo, maana hujui nini kibovu, japo utumiaji wa mafuta na hali ya shamba inachangia kwa kiasi kikubwa sana
Matumizi ya mafuta kwa chombo chochote inategemea na mazingira ya kazi. Kwa wastani mashine hiyo ina injini ya kawaida na hivyo ulaji wa mafuta katika mazingira ya kawaida siyo mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…