Kwanza kabla ya kuanza safari yako ujue kua gharama za Hotel nchini zambia ziko juu kuliko Tanzania. Mahotel kama Protea, Intercontinental, Golden peacock au Radisson blu bei za chumba ni kuanzia 25k tsh. Mahotel ya kawaida chuma kizuri sehemu salama ni kama 70k tsh. Zambia ni sehemu nzuri kwa uwekezaji wazambia ni wavivu sana, ukianzisha shughuli zako jaribu kuajiri raia wenye asili ya mataifa ya nje kama Tanzania, Rwanda, Congo au Malawi.