Zahor Salim
Member
- Sep 1, 2010
- 29
- 9
nenda national housing watakuambiaa ni flats zipi znauzwa...shekilango pale washamaliza zoteSalaam wa wanaukumbi
naomba kujulishwa kama hapa dar es salaam kama kuna flat zinauzwa kwa njia ya malipo ya instlament yaani kama kuna mjenzi anajenga jengo la ghorofa kumi na zaidi na huwa anauza flat kabla hayaanza kujenga na kulipa dowin payment na balnce kwa muda wa miaka 2 au zaid.
Naomba yeyote anaejuwa naomba contact
natanguliza shukran
Atupe mrejesho
kweli kabisa.....wana beepwalikuwa anafanya window shopping!