Nataka kuoa: Awe na sifa hizi

Acuity

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
391
Reaction score
118
Wana-jamvi,

Nataka kuoa mtu mwenye sifa hizi. Leo tarehe 1.1.2014, nimeona nipunguze vigezo maana naona mabinti wameshindwa kujitokeza.

1. Awe mweupe, asitumie mkorogo.
2. Awe na makalio/----/hips za kutosha.
3. Awe na elimu ya Chuo kikuu.
4. Mchangamfu, mcheshi.
5. Awe ni Mtanzania, kabila lolote.
6. Awe tayari kufunga ndoa na mimi Mwezi August 2015.


Please mwanamke mwenye sifa hizi au ana rafiki yake mwenye sifa hizi, ani-pm haraka sana tuanze kuwasiliana. Niko serious!
 
Duh, sijui kwanini umeweka sifa hizo. Muombe Mungu akupatie mke mwema
 
Heeeehh..mbona mashart km ya mganga mzee vipiii....
 
Aisee hawa wake kweli masharti chungu nzima
 
Na wewe si uweke picha yako hapooooooo!!
 
andika zako kwanza ndio wakutafute.....

Tukionana atahiyari kunikubali au kuniacha. Lakin mimi ni kijana mtanashati na handsome mwenye elimu ya wastani - Masters, naishi U.S.A. Nina umri wa miaka 30. Msichana awe na umri usiozidi miaka 25.
 
mtu mwenyewe inawezekana hela huna, mapenzi huna,elimu ya kuunga unga halafu unakuja na vigezo kibaaaao!!!!
 
Tukionana atahiyari kunikubali au kuniacha. Lakin mimi ni kijana mtanashati na handsome mwenye elimu ya wastani - Masters, naishi U.S.A. Nina umri wa miaka 30. Msichana awe na umri usiozidi miaka 25.

umesahau kuwaambia na ATM yako ina kiasi gani.
 
Weka picha tafadhali tena ukiwa umesimama mikono juu..
 
Hapo no.6 umejiuliza vizuri au unahitaji tu kuwa na rekodi ya ndoa?
 
Jamani mbona sioni pm zenu?? This is serious. Ukini...pm tutapeana picha kila mtu amwone mwenzie.
 
Bado naendelea kupokea pm zenu pls
 
mbabaishaj mwanaume waukwel huwa ajitise hiv dear sisters be careful
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…