unamaanisha nini???Kwa kweli Tafuta KIKONGWE
unamaanisha nini???
man, nafikiri haupo serious, situation kama hizi zinatokea haswa ukizingatia situation niliyokua nayo ya ustudent. sasa mimi m2mzima nataka kusttlewatoto wanne nje ya ndoa na bado hujaoa? hii kali.
pia yeye mwanamke anafaa kuolewa..mbona unamdharau?? akijitokeza tuelewane simwachiDuh oa mjane
hapana mkuu mi si noma just a simple, down to earth guyDuh mkubwa wewe ni noma.
nataka ufahamu mimi si kiwembe, ningelikua kiwembe tungezungumza mengine saa hii. pilinilishabadilika kwani mtoto wa mwisho ana miaka mitatu. sina nia ya watoto wengi ila kwa mwanamke akipendezwa nami nitaridhia kumpa wawili. najua sio poa niliyofanya lakini siwezi kuwatupa wananguhawataki kuletewa watoto wa nje maana inaonekana wewe ni kiwembe so unaweza kuwajazia timu toka out.....Badirika kwanza then ndio uchukue hiyo hatua. watoto 4 kila mmoja na mama yao sio poa.
asante lakini umekosea. nia ninayo, uwezo ninao. kwanini nitafutiwe? kwanini kwenda kutafuta kijijini ilihali mjini wapo? sidhani jambo la kulea hapa lina umuhimu kwasababu watoto ni wakubwaNenda kijijini kwenu wazee watakutafutia mke mwenye huo uwezo wa kulea.
anamaanisha ww hauko kwenye market vizuri sana. una tabia ya kuwa na mahusiano ya kizembe ( 4 kids 4 women, kila mahali unapoenda huogopi ukimwi) na ukishapata mtoto unachapa lapa! tafuta mjane (wapo wana miaka 30 tu ndoa zimekatishwa na Mungu!). otherwise, kwa msichana aliejitunza lazma anategemea watoto wengine kama kumi hivi kwa kipindi cha ndoa (kama hamtaachana mara baada ya kuzaa na mkeo huyo!). huweiz kurudia kosa lile lile mara 4, hata kama hujajifunza walau ungekuwa bored na kukosea!
smtimes kuna makosa huwa tunayafanya ujanani bdae yanatucost sn. See how unahangaika? From now control urself kakangu wasije wakawa 5 6 tabu ikaongezeka. Unaweza ukaendelea kumwomba Mungu akupe mke atakaewapenda hao wanao ipasavyo. Punguzu ngono zembe 2lia one day utampata tuhapa mkuu umekosea. kama ni swala la market nadhani niko wa bei ya juu maana nimeshaproove nina uwezo wa kiume. mahusiano nhayakua ya kizembe ukizingatia situation niliyokua nayo. isitoshe ningelijua hao wanawake wangelipata ujauzito nisingefanya hicho kitendo kwa wakati huo lakini sikujua, hesabu zao walifanya kimakosa. pia sina nia ya kusaka girlfriend bali WIFE so jambo la kuachana ondoa shaka
hahaha! Mentor unamcheka mwendhio yakija kukukuta...utashaaa!Hahaha..Wewe fanya kazi ya kulea wanao wanne aisee,u will be so busy with them to even remember marrying!Kweli hii yako kali!
hapa mkuu umekosea. kama ni swala la market nadhani niko wa bei ya juu maana nimeshaproove nina uwezo wa kiume. mahusiano nhayakua ya kizembe ukizingatia situation niliyokua nayo. isitoshe ningelijua hao wanawake wangelipata ujauzito nisingefanya hicho kitendo kwa wakati huo lakini sikujua, hesabu zao walifanya kimakosa. pia sina nia ya kusaka girlfriend bali WIFE so jambo la kuachana ondoa shaka