Nataka kuoa jini

Kijana unaitaji mambo mazito je utakuwa tear kufata mashart ya kijin
 
Sababu no 4, 5 & 6 zinathibitisha wazi kuwa we jamaa ni mchicha. Unapenda sana kitonga hadi unaaibisha UANAUME.

Nenda ujinini kaolewe huko tena usirudi kabisa..
 
Wewe jamaa vipi mbona hueleweki, una kiherehere sana plus umbeya , watu unaoishi nao wana taabu kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…