naona unaonyesha matumizi tuuuuuu kada mimi naomba MAPATO KAKA kwa mwezi incoming yako ni kiasi gani je una miradi gani hapa mjini yani (Show rooom ngapi za kwako na any yard labda)kwa ujumla wewe kama wewe unasimamaje ki TRA zaidi, Upande wamuonekano wako we niachie hata uweje mi nitakukubali tuuuu:smile-big:
Naona kaka umetoa matumizi tu mimi naomba na MAPATO kwa mwenzi shing ngapi? je unamiliki nini mjini boutique, show room yeyote ile ikiwezekana hata hotel yoyote hapa town mambo ya sura yatasonga tu :yield::yield: