Nataka kuoa mke wa pili.

Kirikou Wa Kwanza

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Posts
3,564
Reaction score
1,991
Mume: Mke wangu kuna kitu nataka kukwambia? Mke: Kitu gani? Mume: Nataka kuoa mke wa pili. Mke: Unasemaje we mwanaharamu?!

Tehe tehe tehe kilichoendelea mi sijui!
 
Hiyo kauli yake ya mwisho ingenitosha kabisa kuongeza mke wa pili hata kama nilikuwa namtania..kwanini aniite mwanaharamu!?
 
Hiyo kauli yake ya mwisho ingenitosha kabisa kuongeza mke wa pili hata kama nilikuwa namtania..kwanini aniite mwanaharamu!?

Unaitwa mwanaharamu sababu unataka kuongeza mke wa pili, tehe tehe tehe wanawake bana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…