Nataka kuoa Muislam ila nataka kubaki na jina langu

kwenda21

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
3,423
Reaction score
3,414
Jamani nataka kuoa mwenzenu,

Nia ya kuandika hapa si michango, mimi sina shida na kwetu hatuna shida, najua kauli hii itawaumiza sana baadhi ya watu, maana wanapenda kusikia kinyume chake ili wafurahie kuwa hawapo peke yako, ila ndio hivyo tena.

Sasa jamani mimi nataka nioe binti wa kiislam ila nibaki na jina hilihili la Gregory, je inawezekana?

1621430622250.png
 
Inawezekana lakini lazima utumie majina mawili
 
Dini na jina vina uhusiano gani?
Nilidhani ungesema "Ila nibaki na dini hii hii"

Dini ni imani na matendo,jina ni kama identity ya mtu tu.
 
Jamani nataka kuoa mwenzenu,

Nia ya kuandika hapa si michango, mimi sina shida na kwetu hatuna shida, najua kauli hii itawaumiza sana baadhi ya watu, maana wanapenda kusikia kinyume chake ili wafurahie kuwa hawapo peke yako, ila ndio hivyo tena.

Sasa jamani mimi nataka nioe binti wa kiislam ila nibaki na jina hilihili la Gregory, je inawezekana?
Mkuu ulifanikiwa..
 
Back
Top Bottom