Nataka kuoa watu wenye ethnic hizo mbili, sina sababu ila basi tu nataka kufanya vitu tofauti na wengine. Kama umo humu here is your chance don't let it pass you by
Duh sa mbona unaanza kunikatisha tamaa bhana ahmkuu kuna vitu inatakiwaa uwee na maamuzii ya nguvu,kunaa jamaa alitaka kuowa mtoto wa mwarabu,babaa mkwe akamwambia ishalla ila kimilaa lazima nikubokoe kwanza kwani we mswahili mwanangu mwarabu ndo milaa zetu,na sharti lapilii niletee kipande cha nnya yako,nakaushaa then nakuwa nachanganyaa na chai..utaweza masharti
That's very good. . Hata Mimi mimeoa mke wa ethnic tofauti sana..... nina enjoy sana...kila ninachomfundisha kuhusu Mila zetu anakifurahia sana kwa kuwa ni kigeni kabisa kwake.. ..na Mimi hivyohivyo....lt is a very enjoyable life time experience......jitahidi mkuu...Nataka kuoa watu wenye ethnic hizo mbili, sina sababu ila basi tu nataka kufanya vitu tofauti na wengine. Kama umo humu here is your chance don't let it pass you by
Umeoa Mhadzabe [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]That's very good. . Hata Mimi mimeoa mke wa ethnic tofauti sana..... nina enjoy sana...kila ninachomfundisha kuhusu Mila zetu anakifurahia sana kwa kuwa ni kigeni kabisa kwake.. ..na Mimi hivyohivyo....lt is a very enjoyable life time experience......jitahidi mkuu...
Soby ntakuona. Mi waarabu ugonjwa wanguNjoo kwetu Ikwiriri, nina ma-cousins kibao..... ila lazima uwe muislam, lazima.