nataka kuoa nxt year nov..lakini...

So unataka kuoa Jini.??
Pre-requisite ya nia ya kuoa ni kuwa there must be a target.
Hakuna ku skip some important steps kama hii, go back to this step then ndo uje uombe ushauri
Usiwe kama wale jamaa wanaojiita ma "sharp shooters" kumbe si lolote si chochote
 
mambo mazuri hayaitaj haraka,we tongoza upate m2 then utachek km utamuoa,co lzm uoe nov ndg,umesahau binadam 2napanga mung anapangua?fany makeke upat mchumb wew acha ushamba.
 
nina mipango ya dhati kuwa na mwenzi...
mwezi nov mwakani...
ila sina rafiki wakike ambaye niko nae kwa mahusiano ya kimapenzi
... wala mchumba mpaka sasa...
naomba ushauri wako ww mwenye uwezo wa kufikiri...
inawezekana??nipe mbinu nifanyeje...

Nenda kwa kanisa la nabii na mtume Mwingira EPHATA liko Mwenge ongea naye atakuunganisha kuna watoto wazuri wako pale wakikesha kwa maombi ya kupata wachumba
 
asanten waungwana...kuna michango ya ukwel nimepata humu...
japo kwa uchache lakini constructive...
pia asanten mnaosubiri kuponda post za watu aisee.!
bado naitaji...
 
mmh sasa huna hata demu alafu unafikiria kuoa mjomba??
 
Wanawake ukienda na mbinu za wenzako huwezi kuwapata, bora uende mwenyewe na step zako, ukikosea watakufunza wenyewe mpaa utapatia step zao.
 
Waweza tafuta msichana alie serious na ndoa na mkapata muda wa kujuana vizuri kwa kipindi chote hiki mpaka huo muda unaotaka wewe kuoa, jiachanganye na wadada tofauti, badirishana nao mawazo, utapata tu mkuu.
 
Kila kitu kinawezekana mkuu ..
Nina marafiki walikitana na kufunga ndoa
ndani ya miezi mitatu na sasa wako pamoja
mwaka wa tisa huu ..

Wewe una muda sana .. Ila anza ku search sasa ...
 
Sasa unataka kuoa huku huna hata mchumba
Tulia utafute kwa makini na muombe na Mungu wako akujalie kupata yule unayemtaka
Ukienda kichwa kichwa utaumia au utapata korona la nazi
 
Tafuta mchumba na mikakati yako yaweza kutimia ila kuwa makini ndugu.....usijeparamia tu kwa haraka ya ndoa!!
 
Mi katika maisha yangu sijawahi ona mtu anatangaza tareh ya ndoa wakat hana mchumba>
anyway hii ni stail mupya, jipange tongoza wasichana wengi as much as possible, au kati ya hao ambao uliwahi kuwatokea chomoa hapo mmoja kula nae sahani moja ili umjue zaidi na kumwelewa alaf umalize kazi
 
Tahadhali, ukimpata usiwe na papara ya kula tunda. Wengi wameoa wanawake wasiokuwa chaguo lao kisa tamaa ya tunda maana ukimpa ujauzito unaona bora umuoe.
 
Usiumize kichwa man we andaa sherehe kabisa mabinti kibao watakuja halafu kama mswati vile hapo unachagua unavuta hawakataagi siku hizi manake wanajua kuolewa issue
 
Mtangulize mungu kwa kila jambo kwa plan yako yakuoa next year waweza fanikiwa kwan kwa sasa bado mwaka na miezi 8 ila muombe sana mungu akuongoze umpate mke mwema na ucw na papara ktk utafutaji wako mara leo upo na huyu kesho yule mwishowe wakikugundua watakukimbia na ushindwe kutimiza malengo. Ukimpata mmoja tulia nae huku ukimchunguza kuona kama mnaendana tabia. Minakuombea ufanikiwe kutimiza malengo yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…