Nataka kuomba na kusajiri Domain

Singwa

Member
Joined
May 26, 2011
Posts
65
Reaction score
25
Wakuu,

Nataka kusajiri domain yangu ili kufungua website kwa ajili ya biashara. Tafadhali mwenye uelewa wa mambo haya anijuze tafadhali.
 
Je tayari unayo website? Au kama bado unaweza ukanunua domain au ukatafuta proffessional wa kutengeneza website wakakutengenezea.
Mara nyingi wanaotengeneza uwa wanafanya kila kitu mpaka kusajili domain
 
Yaani hapa nataka nipate mtu wa kunitengenezea ili tuelewane hizo gharama.

Aliye tayari ani MP tuzungungumze zaidi
 
nicheki 0656540271 or 068220703 kwa website design and hosting pia SMS marketing ( BULK SMS)
 
Check me 0762273906. Kusajili website design with control panel unakua unafanya updates mwenyewe
 
Yaani hapa nataka nipate mtu wa kunitengenezea ili tuelewane hizo gharama.

Aliye tayari ani MP tuzungungumze zaidi

Naifahamu kampuni moja inaitwa DUDUMIZI wametengeneza website nyingi tu za makampuni makubwa.
Jaribu ku 'google' kisha utaweza kuwasiliana nao
 
Singwa ,

Dudumizi solutions inaweza kukusajilia domain yako na kukuhostia . Tuna offer za domain za dot tz ambazo ni shilingi za kitanzania 22000 kwa mwaka na kukuhostia kutokana na ukubwa wa space unaotaka. Pia tunaweza kudesign website kutokana na mahitaji yako.

Tupigie kwenye namba 0652506714 au tutumie email. Email yetu ni domains@dudunest.co.tz . Website yetu ni Web Design, Hosting & Domain names Tanzania :: DuDumizi Solutions.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…