Mtoto huyu ana kipaji kikubwa Sana ila ukimwangalia vizur ni mchezaji anaecheza mpira Kama hobby tu, Anacheza kisuperstar. Huyu anapaswa kushauriwa kuangalia mbele. Na huu ni ugonjwa wa wachezaji wengi wa tz, hawana vision.Mwangalie msuva wa mwaka juzi, mwangalie singano alimpigisha kadi nyekundu kelvin Yondani. Tz tuna vipaji vingi tatizo hawajitambui. Siamini Kama samata ni the most talented player, wapo watu wanamzidi ili tofauti ni kwenye nidhamu, kuheshim kaz na kujitambua. Ajibu akipata hvyo hawez kucheza Tanzania tena. Vinginevyo ni Boban wa pili
Na Bahati Mbaya Sana Aliyekuwa Anammudu Sasa Hayupo Tena Simba Sports Club Nae Si Mwingine Bali Ni Aliyekuwa Kocha Msaidizi Seleman Matola Mzambia Veron Na Nikiangalia Pale Simba Mtu Mwingine Ambaye Kidogo Atamuweza Ajib Ni Mjumbe Wa Kamati Ya Utendaji Ya Simba Comrade Said Tully. Ila Kuhusu Kuwa Na KIPAJI Huyo Dogo Ana Vitu Zaidi Hata Ya Mbwana Samata Na Kama Akimpata Kocha Wa Kumpika Zaidi Kimwili Na Kinidhamu TUTAKESHA TENA UWANJA WA NDEGE Kusubiri Kumpokea Na Yeye Kwa Kupewa TUZO Kama Mwenzie POPA.
Na Ili Uone Huyu Mtoto Ni Nuksi Ukikaa Nae Tu Na Kumuuliza Ni Wachezaji Gani Anaowakubali Na Anaodhani Wanajua Mpira Majibu Yake Huwa Ni Haya:
Wa Kwanza Ni Mimi Mwenyewe.....
Wa Pili Ni Kaka Zangu Akina Haruna Moshi Na Niyonzima
Na Mwisho Utamsikia Anasema Wengine Wote Waliobaki HAWAJUI Mpira
Huyo Ndiyo Ibrahim Ajib Migomba Mwenyewe Hupenda Sana Kuitwa MIDO Na Anasifika Mno Huku USWAHILI au USWAZINYO Kwa Kucheza NDONDO Tatu ( 3 ) Kwa Siku Na Ninachompendea Ni Kwamba Mchezo Wa Kistaarabu Anaujua Lakini Ukimzingua Basi Nae Anakuzingua Vile Vile.
Kuwalinganishs Ajibu na Samatta ni kukosa uelewa. Uwezo wa Samatta ni mkubwa sana. Anauwezo wa kukusanya kijiji na akafunga.
Sisi wakongwe kwenye soka hatuwezi fanya ulinganifu wa kipuuzi kiasi hicho.
Mtoto huyu ana kipaji kikubwa Sana ila ukimwangalia vizur ni mchezaji anaecheza mpira Kama hobby tu, Anacheza kisuperstar. Huyu anapaswa kushauriwa kuangalia mbele. Na huu ni ugonjwa wa wachezaji wengi wa tz, hawana vision.Mwangalie msuva wa mwaka juzi, mwangalie singano alimpigisha kadi nyekundu kelvin Yondani. Tz tuna vipaji vingi tatizo hawajitambui. Siamini Kama samata ni the most talented player, wapo watu wanamzidi ili tofauti ni kwenye nidhamu, kuheshim kaz na kujitambua. Ajibu akipata hvyo hawez kucheza Tanzania tena. Vinginevyo ni Boban wa pili[/QUOTE