Nataka kupenda kama mjinga, nizame nipotee kama limbwata lipo nilishwe

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860
Nataka kupenda kama mjinga, yaani niwe zombiee, nizame mapenzini nipotelee huko. Kila nachoambiwa nione sawa niwe mjinga mjinga no reasoning.

Yale mapenzi usipowasiliana ama kumwona mtu wako for a day unajisikia mgonjwa, mapenzi ambayo unaongea na mtu wako for two or three hrs and you feel like its just 5 minutes na haujui mlikuwa mnaongea nini.

Yaani mapenzi ambapo nikiachwa au nililazimika kuacha basi nichanganyikiwe, nishindwe kula, nikose usingizi, nipungue uzito, nione kama dunia imekwisha shughuli zangu nishindwe kufanya, kichwa kigome kufukiri

Kama limbwata ni kweli lipo basi nilishwe hata hilo, haya mapenzi ya kupenda robo robo with a lot of reasoning sio nayotaka.

Natamani kupenda with all my heart, soul, mind, body and my everything, nataka kupenda kamili kamili, kwa kila kitu, mpenzi wangu awe kila kitu, awe ndio dunia na maisha yangu.
Nataka ifike mahala na mimi niamini kama mtu unaweza kujiuwa au kuuwa kwa sababu ya kupenda.
 
Yakipungua kidogo tu hayo lazima upate preshaa na mwishowe kufa kabisaa
 
Yakipungua kidogo tu hayo lazima upate preshaa na mwishowe kufa kabisaa

Mimi natafuta njia ya kupenda niwe zuzu kabisa
Maana kuna mtindo hapa mjini watu hata kazi hawafanyi "eti" kapenda sasa mimi nipo tayari hata kwa limbwata nione nitakuwa hivyo?
Wengine wanauwa kabisa najiuliza ni kupenda kweli?
 
charty... oh baby--come here swiriii!
Rich Pol! njoo hukuu meen!
kiwatengu! there is a new game of love down here!

I remember our old days when charty was a young girl! dah!
 
Last edited by a moderator:
mkuu hata kwa dawa siwezi kuwa na upendo wa namna hii!

yani niwe kama zombie? dadeki, impossible mission...!

niliishaana na wanawake zaidi ya watano sababu ya kutaka kunisababishia mahaba niue!

bado nina mambo mengi sana ya kufanya, i cannot allow myself to fall in love, while life is pulling me around..
 

Mkuu inaweza kuwa ubishi wetu ni sawa lakini mimi nimejitolea kwa hili kununua uzoefu!
Maana sidhani kama ni maisha mageni kwenye jamii yetu,na huwa napata shida sana pale hata roho za watu zinapohusika..
 
Mkuu inaweza kuwa ubishi wetu ni sawa lakini mimi nimejitolea kwa hili kununua uzoefu!
Maana sidhani kama ni maisha mageni kwenye jamii yetu,na huwa napata shida sana pale hata roho za watu zinapohusika..

That's y I love u!! Go on babee!!
 

Mkuu Kiboko10, unatafuta umasikini weye ?
 
Last edited by a moderator:
Richpol kalala saizii usimwamshe excel...!
nichum basi kipenzi! nimekumiss mpaka natamani nikung'ate nyonyo! kimtindo lakini! si unajua zile romantic bites eenh! utazimiaje kwa mshindo !
 
nichum basi kipenzi! nimekumiss mpaka natamani nikung'ate nyonyo! kimtindo lakini! si unajua zile romantic bites eenh! utazimiaje kwa mshindo !

Hili balaaa unanitafutia yeleuwiiii!
 
Huu uzi mbona ni mimi niliupost siku za nyuma hapo! Kibo 10 with your games!
 
Mmh natamani unipende...asipaone charty
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…