Nataka kupika ugali mlisema unatiwa 'blubend' na nini?

Hongera sana mkuu.

1. Kwanza chukua magadi vijiko viwili, weka kwenye sufulia yenye maji nusu lita (kwa mtu mmoja), mix nyanya mbili na chumvi.

2. Acha vichemke dakika 10, muda huo wewe unachekecha unga robo. Maji yakichemka weka unga funikia.

3. Baada ya dakika 5 ndio uweke blueband vijiko vitatu vya chakula. Kisha funika.

4. Baada ya dakika 10 unaweza epua. Ugali wako umeiva.
 
Na asali mbichi kikombe1
 
Ukiutukana ugali,haki yanani nitakushitaki: Hahaha nyinyi ndio mnasema mtoni wanakula ng'ombe.:KUKATAA UGALI NI UJINGA,SI UBOSS ...SANA-SANA UKILA UTAKUWA UMEPUNGUZA MIKOSI.
 
nikupe namba ya yule dada mwenye ingredients za ugali ila hajui kupika akufundishe [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ila Abby jaman, eti kufagia uwanja wa mpira.
Lol
 
Alisina anapenda Ugali, Maxence Melo anapenda Ugali, Seun Osewa anapenda Ugali, Sadio Mane anapenda ugali,Idris Elba anapenda Ugali,Jaymo Ule Msee anapenda Ugali,P-Funk anapenda ugali, JUma Nature anapenda Ugali...HUUU -HAAA PULIZA WA MOTO HUO.
 
Ugali na blueband????[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…