Nataka kupima afya (Medical chekup) kwa kutumia bima NHIF

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,647
Reaction score
9,604
Nipo dar nahitaji kufanya kupima afya kwa kutumia bima ya afya NHIF.
Unamwambia Dr unataka kupima afya tuu au unalist idadi ya magonjwa unayotaka kupima?
Hospital ipi ina utaratib mzur wa kupima ?
 
Nipo dar nahitaji kufanya kupima afya kwa kutumia bima ya afya NHIF.
Unamwambia Dr unataka kupima afya tuu au unalist idadi ya magonjwa unayotaka kupima?
Hospital ipi ina utaratib mzur wa kupima ?
Nenda hospital yoyote inayopokea bima ya afya na kawaeleze shida yako.
 
NHIF hairuhusu hilo ..medical checkup sio sehemu ya package
 
Medical check up hailipiwi na NHIF, beba hela ya kutosha ili safari yako isiwe ya bure
 
Medical check up hailipiwi na NHIF, beba hela ya kutosha ili safari yako isiwe ya bure
duh! naomba maelezo kidogo mkuu?? mpaka niwe naumwa?
au nisingizie kuumwa ili wanipime?
 
nenda any private hosp wanayotoa huduma kwa kadi ya nhif watakusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…