Nataka kurekebisha taarifa zangu TCU

slmmfm

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
304
Reaction score
65
Wadau vip? Nataka ni edit selection zangu TCU au nitaharib!!
Coz naskia dedln tar 6 mara dedln imepita xo haielewek
 
kama option ya ku remove ipo edit fasta kabla hawajafunga kabixa
 
Unaweza ukaribu,coz hizi siku za mwisho kunakuwa na network jam.
 
Duuh huku ku edit mwishoni mwishoni naona kama its a bit risky
 
kwan mwanzon ulipoapply hukufikiria?? au ulikurupuka?? jarib bahat yako
 
Frexh wadau ka vp % nisha edt program moja niliona inanzngua2
 
all kwann muna edit!!!?? mimi toka niweke sijawahi ku edit ..whats so special?
 
Last edited by a moderator:
all kwann muna edit!!!?? mimi toka niweke sijawahi ku edit ..whats so special?

Wana edit sababu wakiangalia competition ni kubwa so wanarekebisha na kuweka mahali penye uhakika.
 
Last edited by a moderator:
Wadau vip? Nataka ni edit selection zangu TCU au nitaharib!!
Coz naskia dedln tar 6 mara dedln imepita xo haielewek

Ucpanic tulia mambo yatajipa tu, au una mashaka na hujiamini?Angalia usije ukajikaanga kwa kiwese chako mwenyewe.
 
Kwa mliofanikisha vipi mmefanikiwa na mambo mazuri tu,? Mdogo wangu anataka kuedit sababu kozi zote alizochagua zina watu takribani 2000 per course.
 
Kwa mliofanikisha vipi mmefanikiwa na mambo mazuri tu,? Mdogo wangu anataka kuedit sababu kozi zote alizochagua zina watu takribani 2000 per course.

Duuuh. (2000) ni arts? huyo then it must be UD and Mzumbe ndo competition kubwa
 
Duuuh. (2000) ni arts? huyo then it must be UD and Mzumbe ndo competition kubwa

Yeah mkuu dogo ni pure HGL div II-8 but competition ni kali ila mi namuencourage amtegemee Mungu tena kupitia Jina La Yesu ndio jibu lake.
 
Yeah mkuu dogo ni pure HGL div II-8 but competition ni kali ila mi namuencourage amtegemee Mungu tena kupitia Jina La Yesu ndio jibu lake.

Ameen Bro. Kila kitu kinawezekana kwa yeye aaminie mwambie aombe tu Mungu atafanya jambo. .
 
Wana edit sababu wakiangalia competition ni kubwa so wanarekebisha na kuweka mahali penye uhakika.

kwa upande wangu me ninaona kila sehemu kuna compitation za kutosha pia mi ba itakavyo kua na iwe sibadili ng'o...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…