Nataka kurudi kwetu nifanyeje?

Nataka kurudi kwetu nifanyeje?

Mapolomoko

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
1,751
Reaction score
422
Habari ndugu ktk JF. Mi kabira langu ni Mngoni. ninataka nirudi kwetu, A/KUSINI. sasa nauliza nifanyeje ili nirudi kwetu
 
naona hamtaki nirudi. make munajibu kwa jaziba. basi nimeahilisha siendi
 
hahahaha mtani mambo magumu; tulijua tu mtashindwa nendeni na vipembe maanaake nyie wachawi sana
 
Back
Top Bottom