Nataka kurudi shule(nisome IT) chuo gani kizuri bandugu?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Dunia sasa hivi imehamia kwenye ( computer technology) nataka nisome IT, chuo gani kizuri?

UCC au VETA? Kama ni ucc branch gani wapo vizuri? (Udsm au Posta?)

Nataka kwanza nisome kozi yupi fupi za IT then baada ya hapo ndo nitafikiri nisome certificate then Diploma.

Vitu vyangu vingi ( almost 90%) vinahitaji IT knowledge na Mimi nilisomaga course za ( Ngwine).

Wajuvi wa mambo naomba mnijulishe. Nataka nianze as soon as possible. Chuo gani wanapokea wanafunzi sasa hivi?

ADDITIONAL ADVANTAGE NIKIWA NASOMA: Nitakutana na vitoto vya miaka ya 2000. ( 2005-) so that one will be my allowance kwa muda wote nitakao kuwa anasoma.
 
VETA at least wana practicals,,, ila UCC ndo siwajui kabisa,,,,

Check na VETA KIPAWA, naonaga kama ndo veta inayodeal na course za IT, sjajua VETA Changombe kama wanatoa course za IT.
 
Asante sana kaka
 
Dunia sasa hivi imehamia kwenye ( computer technology) nataka nisome IT, chuo gani kizuri?

UCC au VETA? Kama ni ucc branch gani wapo vizuri? (Udsm au Posta?)

Nataka kwanza nisome kozi yupi fupi za IT then baada ya hapo ndo nitafikiri nisome certificate then Diploma.

Vitu vyangu vingi ( almost 90%) vinahitaji IT knowledge na Mimi nilisomaga course za ( Ngwine).

Wajuvi wa mambo naomba mnijulishe. Nataka nianze as soon as possible. Chuo gani wanapokea wanafunzi sasa hivi?

ADDITIONAL ADVANTAGE NIKIWA NASOMA: Nitakutana na vitoto vya miaka ya 2000. ( 2005-) so that one will be my allowance kwa muda wote nitakao kuwa anasoma.
UCC wako vizuri sana kwenye IT
 
Kwa certificate chuo kizuri ni veta ila level zingine nenda dit
 
Nlimaliza 4 nikaenda veta then mliman kusoma computer science
 
Back
Top Bottom