Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Nina masters yangu ya Logistics,nimeifanyia Canada,na First degree yangu ni ya Accounts nimeifanyia Australia,working Experience 3 Yrs now,nafikilia kurudi nyumbani nimechoka kukaa ukimbizini kwa mda mrefu na nimemiss jamaa zangu kwa mda mrefu.
Kabla sijarudi naomba mnipe hali ya upepo huko kunalipa au hakuna kitu nitulie zangu huku,na kama ni ajira niombe wapi ambapo wanalipa fresh zaidi.
kruuuuuuuuuuuuppp!! hiyo ni break..baada ya mbio ndef!!kujiajiri hilo alinisumbui hata kidogo kwa sababu najua naweza kujiajili..maisha yangu yako kwenye mstari kidogo,na mtaji ni nao wa kutosha.hata hapa ninapofanya wanalipa pesa nzuri najua hata kwa bongo hawezi kufikia robo ya malipo ninayopata..shida najisikia stress na kama hatia vile..napenda kuishi na jamaa zangu kwa karibu zaidi.kuna kitu naona kama kimenza kupungua hasa kuwa mbali na wazazi wangu na jamaa zangu kwa mda mrefu.kila nikija nakaa week mbili au tatu nakuondoka.kaka yangu ,mdogo wangu napenda kuwa nao karibu sana.sioni kazi kama inanipa furaha ninayotoka..

hilo nalo nenowakati wa kuondoka ulimuomba ushauri nani.....
Its hi time sasa watu waondoe mentality ya kuajiriwa, una exposure na una rite experience,unaweza piga mzigo wa nguvu for one more year huko save kiasi cum up na kitu n start up ur own, opportunities huku bado nyingi sana. All the best n karibu
JF ni zaidi,nitakuja kutest zali,nikiona kugumu nageuza zangu sitakaa zaidi ya miezi 3,muhimu nina VISA yangu mda wowote naondoka kama nikiona hakuna muelekeo au mnasemaje??
usiwe unaongea tu ..weka experience yako hapa jinsi ulivyojiajiri na ulipata wapi capital ..ili tufuate nyayo zako. sawa?Its hi time sasa watu waondoe mentality ya kuajiriwa, una exposure na una rite experience,unaweza piga mzigo wa nguvu for one more year huko save kiasi cum up na kitu n start up ur own, opportunities huku bado nyingi sana. All the best n karibu
Hapo.kwenye ujasiri binafsi hapo.hapo, na kufungua kuanza biashara u need more of personal capital kuliko money/financial capitalWachache sana wanaweza kusave. Mfumo wa maisha ya USA na Canada unakufanya uishi kwa raha sana. Yanakupa maisha bora ukiwa hukohuko/humohumo lakini huwezi au ukizubaa huwezi toka na maisha hayo kwenda nayo au kurudi nayo home. Inahitaji ujasiri binafsi
Ok ni maelezo mengi kiasi ngoja nikikaka mahali poa/comfortable nitakuelezeausiwe unaongea tu ..weka experience yako hapa jinsi ulivyojiajiri na ulipata wapi capital ..ili tufuate nyayo zako. sawa?
wakati wa kuondoka ulimuomba ushauri nani.....
nina masters yangu ya logistics,nimeifanyia canada,na first degree yangu ni ya accounts nimeifanyia australia,working experience 3 yrs now,nafikilia kurudi nyumbani nimechoka kukaa ukimbizini kwa mda mrefu na nimemiss jamaa zangu kwa mda mrefu.
Kabla sijarudi naomba mnipe hali ya upepo huko kunalipa au hakuna kitu nitulie zangu huku,na kama ni ajira niombe wapi ambapo wanalipa fresh zaidi.