Nataka kurudia 4m4.

Kwa karne hii m2 wangu umr umekwenda tafuta hata njia nyingine kulko kuyarudia matapish yako
 
Kiufupi nina dv four ya 29

Kwa kukusoma haraka haraka lengo lako wewe ni kusoma form v (nimekosea mkuu?kama nimekosea niambie), hizo maksi zako ndio zimegota hapo kikubwa ni kuangalia vyuo vinavyotoa Certificate ya fani ambayo unataka uje uwe kwa level ya juu siku za usoni kwani ukirudia form 4 mfano ukichemsha zaidi ya hapo itakuaje plus muda uliopoteza.

Tafuta chuo piga certificate kisha nenda Diploma baada ya hapo ukiwa vizuri utaendelea na masomo ya juu maana muda huo unaorudia form 4 tayari unakuwa umepata certificate, (assuming kama kwa kurudia kwako umefaulu maana yake tena muda ambao unasoma kidato cha 5 na 6 ndio muda ungetumia kwa kusoma Diploma ila wewe unakuwa na benefit ya tayari una fani yako).

Elimu sio lazima ufike form 5 na 6 kuna mazingira kama ikigoma unatakiwa uwe na plan B na ndio maana vikawepo vyuo vya kada mbalimbali kikubwa ni wewe kujirekebisha uingiapo chuo ili makosa uliyoyafanya secondari yasijirudie.
 

Shukran kwa ushauri mzuri.
 
Mkuu Mwamini Yesu kwan anaweza yote. So ukirudia utafanya vizur zaidi.
 

nakuunga mkono 100%
 
Mimi ni Kijana, nina miaka 23; nataka kurudia form4. Wadau mnanishauri vipi?

Usipojirekebisha uandishi wako hasa kama ulivyoandika heading utarudia hadi ukome na matokeo yataendelea kubaki mabaya...
 
Usipojirekebisha uandishi wako hasa kama ulivyoandika heading utarudia hadi ukome na matokeo yataendelea kubaki mabaya...

Acha kumnyanyapaa dogo Baba V.
Uandixhi alio andika n kawaida xana 2 mbna!!
Xema 2 hpa jf ndo haujazoeleka.
Dogo rudia 2 hamna xo yo2te
 
Last edited by a moderator:
Kweli we ni krikou wa kwanza sa urudie ili iweje kapige certificate mkuu then degree then diploma huyo una degree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…