Nataka kurudia mtihani wa form four (Naomba msaada wa kituo cha QT Kinondoni)

Gentleman96

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2019
Posts
912
Reaction score
1,670
Habari ndugu zangu katika elimu!

Mimi nimekuja kutafuta ushauri wa kituo gani kizuri kwa masomo ya QT, Kinachopatikana kinondoni, magomeni, Morocco, studio au maeneo karibu na hayo.

Nahitaji kusoma na kufanya mtihani wa kidato cha nne mwakani

Somo ni History, Geography na mathematics
............
Msaada ndugu!
 
Pambana kamanda. Kila jambo lawezekana. Laiti ungekuwa maeneo ya Mbezi Beach ningekupendekezea GOIG OPEN SCHOOL. Mdogo wangu amesoma hapo mwaka 2018 hivi sasa yupo advanced level Mbezi Beach.
 
Ipo maeneo gani?
 
Magomeni, nenda MOSAM OPEN SCHOOL 0783786 028

Bugurun nenda HEKIMA, namba zimenitoka kidogo

Temeke/taifa maeneo yale kuna centre

Hizo ni baadhi ya centre ambazo nilipeleka project yangu, na zipo serious.

Usisahau kuleta feedbacks
 
Shukran mkuu!

Nawapigia simu nijue gharama na mengne mengi
 
Ipo maeneo gani?
Mbezi beach kituo cha GOIG. Ukipanda gari la kutokea huko ni kituo cha pili baada ya tangibovu.

Ukishuka hapo ulizia GOIG shule au GOIG chuo utafika chap. Mazingira yao yako vizuri sana na wapo serious sana. Nilikuwa napata ripoti ya mdogo wangu kila mwezi maana kila Ijumaa wana weekly test na kila baada ya robo ya miezi (yani mitatu mitatu) wanafanya mtihani mkubwa.

Sema shida yao mkuu wanaendesha zaidi kishule kuliko ki-centre centre
 
Wanafunzi wengi wawapo na wanafunzi wenzao huchukulia mambo mengi kimzamzaa; tatizo linakuja pale mmemaliza na mmetawanyika ndiposa majuto huanza na kuanza kutamani kurudi shule wakati nafasi ya kusoma na kufaulu ulikuwa nayo ila MZAA ndio umekufikisha hapa.
 
Kabisa mkuu !
Sio mzaha ni majukumu!
 
Wanafunzi wengi wawapo na wanafunzi wenzao huchukulia mambo mengi kimzamzaa; tatizo linakuja pale mmemaliza na mmetawanyika ndiposa majuto huanza na kuanza kutamani kurudi shule wakati nafasi ya kusoma na kufaulu ulikuwa nayo ila MZAA ndio umekufikisha hapa.
Hii comment sio constructive. Cha msingi anataka kuanza upya na kusonga mbele. Yaliyopita si ndwele hacha agange yajayo.
 
Wanafunzi wengi wawapo na wanafunzi wenzao huchukulia mambo mengi kimzamzaa; tatizo linakuja pale mmemaliza na mmetawanyika ndiposa majuto huanza na kuanza kutamani kurudi shule wakati nafasi ya kusoma na kufaulu ulikuwa nayo ila MZAA ndio umekufikisha hapa.
Wakati mwingine ukitaka kuandika tumia neno 'mzaha'...!
 
QT ya kazi gani na akati unarudia Mtihani? , Qt ni kwa ajili ya ambao hawakupata elimu ya sekondari na umri umekwenda. QT ni mtihihani ya form 2
 
Magomeni, nenda MOSAM OPEN SCHOOL 0783786 028

Bugurun nenda HEKIMA, namba zimenitoka kidogo

Temeke/taifa maeneo yale kuna centre

Hizo ni baadhi ya centre ambazo nilipeleka project yangu, na zipo serious.

Usisahau kuleta feedbacks
Sorry mkuu kuna dogo nae anahitaji center ya QT maeneo ya mbezi hadi kibaha
 
Back
Top Bottom