Gentleman96
JF-Expert Member
- Mar 12, 2019
- 912
- 1,670
Ipo maeneo gani?Pambana kamanda. Kila jambo lawezekana. Laiti ungekuwa maeneo ya Mbezi Beach ningekupendekezea GOIG OPEN SCHOOL. Mdogo wangu amesoma hapo mwaka 2018 hivi sasa yupo advanced level Mbezi Beach.
Mbezi beach kituo cha GOIG. Ukipanda gari la kutokea huko ni kituo cha pili baada ya tangibovu.Ipo maeneo gani?
Binafsi naandika kukupongeza. Umechagua Chaguo lililo jema. Usikate tamaaa wala kukatishwa tamaaa.Habari ndugu zangu katika elimu!
Mimi nimekuja kutafuta ushauri wa kituo gani kizuri kwa masomo ya QT,....
Kabisa mkuu !Wanafunzi wengi wawapo na wanafunzi wenzao huchukulia mambo mengi kimzamzaa; tatizo linakuja pale mmemaliza na mmetawanyika ndiposa majuto huanza na kuanza kutamani kurudi shule wakati nafasi ya kusoma na kufaulu ulikuwa nayo ila MZAA ndio umekufikisha hapa.
Hii comment sio constructive. Cha msingi anataka kuanza upya na kusonga mbele. Yaliyopita si ndwele hacha agange yajayo.Wanafunzi wengi wawapo na wanafunzi wenzao huchukulia mambo mengi kimzamzaa; tatizo linakuja pale mmemaliza na mmetawanyika ndiposa majuto huanza na kuanza kutamani kurudi shule wakati nafasi ya kusoma na kufaulu ulikuwa nayo ila MZAA ndio umekufikisha hapa.
Jamaa yawezekana ana hasira tu!Hii comment sio constructive. Cha msingi anataka kuanza upya na kusonga mbele. Yaliyopita si ndwele hacha agange yajayo.
Wakati mwingine ukitaka kuandika tumia neno 'mzaha'...!Wanafunzi wengi wawapo na wanafunzi wenzao huchukulia mambo mengi kimzamzaa; tatizo linakuja pale mmemaliza na mmetawanyika ndiposa majuto huanza na kuanza kutamani kurudi shule wakati nafasi ya kusoma na kufaulu ulikuwa nayo ila MZAA ndio umekufikisha hapa.
Ahsante binti yangu kwa masahihishoWakati mwingine ukitaka kuandika tumia neno 'mzaha'...!
Ni mazoea tu ya kuita qt!QT ya kazi gani na akati unarudia Mtihani? , Qt ni kwa ajili ya ambao hawakupata elimu ya sekondari na umri umekwenda. QT ni mtihihani ya form 2
Sorry mkuu kuna dogo nae anahitaji center ya QT maeneo ya mbezi hadi kibahaMagomeni, nenda MOSAM OPEN SCHOOL 0783786 028
Bugurun nenda HEKIMA, namba zimenitoka kidogo
Temeke/taifa maeneo yale kuna centre
Hizo ni baadhi ya centre ambazo nilipeleka project yangu, na zipo serious.
Usisahau kuleta feedbacks
Kama wewe ni muislamu nenda pale ridhwaa seminar au mivumoni seminarSorry mkuu kuna dogo nae anahitaji center ya QT maeneo ya mbezi hadi kibaha