Nataka kusafiri kutoka Mwanza kwenda Morogoro kwa pikipiki sanlg 125, naomba ushauri kitaalam

Wewe ni kula kulala kamwe huwezi kuniambia kitu eti nifanye mara nachagua kazi,kweli nachagua kazi,siwezi kazi ya kuzibua marinda,ambayo wewe umezoea.
Eti unapenda short cut!??? Unafurahisha nafsi yako kuandika ujinga.
Nikianza kuandika status yangu halisi si ndio chupi itagonga mav*
Ficha ujinga wako,usirudie kokomenti pumba kwenye post za wanaume wewe dogo,utavalishwa dera endelea tu!!
 
Mwanza moro kwa pikipiki mbona umbali wa kawaida sana, ukiondoka saa 12 saa mbili ushafika
 
Unaona sasa unavyojipandisha,wenye status huwa hawasemi wanaonyesha,hebu onyesha na mimi nikuonyeshe,sikutaka tufike huko,bro.onyesha na mimi nikuoneshe tuoneshane.
 
Status yako halisi ya wapi we mtunza bustani,unajipandisha huna kitu na nilisema toka mwanzo huna lolote na watu kama ninyi nawafahamu vizuri,unatishia eti una status wakati una miaka mi 5 unalima bustani tena kwa kulipwa ujira mdogo,narudia tena acha kujipandisha na tabia za dharau sikupenda tufike huku ila umetaka mwenyewe.
Any way sasa umepata kazi au bado?
Kama bado nambie nikupe kazi hata ya usafi hapa kwangu.
Mi naweza kukulipa wewe hata milioni kwa mwezi ,,,naweza kuingiza hadi $90 kwa siku ukitaka uthibitisho nakuonesha.
Sipendagi sana hizi tabia za kujikweza ila imenibidi nikupe ukweli wako.
Sema kama unaweza kufanya kazi za usafi nikupe ajira kwenye apartment yangu hata ya kupiga deki.
 
Mimi ndo zangu Masafa marefu kwa pikipiki sinaga hofu ila kwa aina ya hiyo chombo sikushauri kabisa snlg haikutengenezwa for long-distance travels mkuu utapata tabu ,at least ungekuwa na Yamaha xpl cc 650
 
Natumia macbook pro nimeinunua amazon $2300,kwa sababu unataka tuoneshane haina shida niliona post yako unatafuta kazi ya kutunza bustani,mi nina nia ya kukuajiri kwenye apartment ninayoishi.

Si wewe huyo unaomba kazi?





Nioneshe na wewe status yako kabla sijakuonesha adsense account yangu na mark x nilioinunua mwezi jana.
twende twende bro.
 
Mm nasaidia watu kutafuta kazi,wengine walikuwa vijana wangu wa kazi.Mpigie huyo mwenye namba muulize nani anayetafuta kazi na nani aliyeweka tangazo lake JF.
Wewe unadhani mimi ndio natafuta kazi?
Bongolala wewe,maisha yako yote huwezi niajiri mimi.
Usinichoshe dogo!
 
Hongera kuwa na Mark X,hiyo ni dream car yako!
Utoto ni raha sana.
 
Una mawazo mgando na uongo wa kitoto,hivi kwa nini mtu atumie account yako kutafuta kazi?
Jf kuunga account ni buree wewe unawatafutia kazi kama nani?
Kwani yeye anashindwa kuunga account?
Bro dont pretend,be real,unafikiri uta fake mpaka lini?
 
Una mawazo mgando na uongo wa kitoto,hivi kwa nini mtu atumie account yako kutafuta kazi?
Jf kuunga account ni buree wewe unawatafutia kazi kama nani?
Kwani yeye anashindwa kuunga account?
Bro dont pretend,be real,unafikiri uta fake mpaka lini?
Huelewi maisha,unadhani kila mtu ana access ya JF,unadhani kila mtu ana smart phone??
Mimi ni mwajiri wao huwa nawapa part time job hao vijana.
Ukiangalia nyuzi zangu za nyuma nimewaombea kazi wapishi,waitress,electrician,gardener etc
Unadhani fani zote hizo ni zangu?
Grow up!
 
Umenena Vema Mkuu. Sina cha kuongeza.
 

kazi ya timing chain ni nini ...piki piki gani unayoijua haina ?? he inatumia mechanism gani kufungua valves na kufunga at the right time??
 
nenda kwa amani, mm niitumia boxer bm 150 toka musoma hadi moro siku moja. sikubadili oil, wala sikuwa na spana, wala maji ya kunywa. Wewe jikoki tu na uanze safari mapema, unafika salama salmini. Tena utakuwa na amani kuliko ukipanda basi. Safari njema nakutakia
 
Na ukifika huko baada ya siku mbili ngozi ya uso itaanza kuvuka kama nyoka jiandae.
 
Mnamtisha tu kama una uzoefu na pikipiki unatembea tena uzuri pikipiki hakuna cha hamsini wala nini ni gia gia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…