Nataka kusafirisha matofali ya kuchoma toka Morogoro kwenda Dar es Salaam

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Naomba kujuzwa kuhusu uwezekano wa kusafirisha matofali ya kuchoma kutoka Morogoro had Dar na yakafika salama .Natamani kujenga nyumba ya matofali hayo ,Je inalipa?
 
Fuso inabeba tofali 2000 kwa wakati mmoja. Unahitaji trip 10 kwa jili ya nyumba ya kawaida-4B/Rs, toilets 4,jiko,sebule,kitchen,dining,store-bei ya tofali ni shs 80-100/= gharama ya fuso/trip labda ni shs 200,000/= .Anzia hapa kupiga hesabu.
 
4M......!
 
Kisarawe kunaweza kuwa karibu zaidi kutoa tofali.
 
kwa nn usiende moro pale Mikumi mizani usubirie yale magari yanayotoka huko mikoani unaongea nao wanakuchukulia kwa bei poa. maana mengi yanarudi tupu baada ya kupeleka/kushusha mizigo huko
 
laki mbili dar-moro? alafu fuso? na dar unakojenga lazima itakuwa ni ndani ndani,nakuonea huruma kama una mpango wa kuagiza tofali mbali hivyo. unaweza ukadumaa kwa mawazo.sio kwamba nakukatisha tamaa ila ujenzi ni headache hasa kwetu sisi watu wakipato cha chini,

umepanga kujenga nyumba ya bei gani ili tukupe ushauri, labda we mtoto wa chenge alafu sisi tunafikiri ni mwenzetu wa mishahara ya wahindi.
 
Ahsante kwa mwongozo!

Back
Top Bottom