Liston Cosmas
Member
- Mar 4, 2015
- 12
- 11
Habari zenu waheshimiwa,
Naomba msaada wakuu kama kuna yeyote angeweza nisaidia kunipa majina ya makampuni au dereva au hata tu msaada wa mawazo wa kusafirisha mzigo kwenda Afrika kusini. Nitakua nasafirisha mizigo mara kadhaa kwa mwezi. DHL sitaki kuwatumia kwasababu mzigo ni mkubwa kidogo na watachaji juu sana. Naombeni msaada wakuu!
Asanteni sana waheshimiwa 🙂[emoji120]