Nataka Kusajili Jogging Club. Utaratibu Upoje?

Nataka Kusajili Jogging Club. Utaratibu Upoje?

Research Consultant

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2022
Posts
453
Reaction score
772
Nawasalimu wote
Nipo Ndani ya Taasisi Binafsi Iliyopo katika moja ya Mikoa ya Kusini mwa Tanzania

Tunataka kuanzisha Powerfull Jogging club katika eneo tulilopo na ilipo Taasisi yetu

Nataka Kufahamu Utaratibu Upoje kuanzia Kuisajili na Process zote mpka tutakapo pewa Ruhusa ya Kuanza as jogging Club

Kwa yeyote anayefahamu anakaribishwa kuchangia mawazo yake ili jambo hili likafanikiwe
Natanguliza Shukran
 
Anza kusajiri Brela Kama Klabu ya Mazoezi,RT hawahusiki Kabisa kwenye Jogging Club!!,RT watahusika utakapoanza kuandaa matamasha ya Marathon na michezo yote ya riadha!!
 
Anza kusajiri Brela Kama Klabu ya Mazoezi,RT hawahusiki Kabisa kwenye Jogging Club!!,RT watahusika utakapoanza kuandaa matamasha ya Marathon na michezo yote ya riadha!!
Sawa Boss
Ngoja nianze kulifatilia hili
 
Back
Top Bottom