Research Consultant
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 453
- 772
Shukran Sana BossJoging club siku hizi zinasajiliwa na chama cha riadha RT. Kila mkoa una ofisi zake. Kwa nyanda za juu kusini nadhani makao makuu yatakua mbeya (MBERA)...
Jaribu kuwasiliana na makao makuu.
Check humo kwa kuanzia.
Sawa BossAnza kusajiri Brela Kama Klabu ya Mazoezi,RT hawahusiki Kabisa kwenye Jogging Club!!,RT watahusika utakapoanza kuandaa matamasha ya Marathon na michezo yote ya riadha!!