Nataka kushare mtaji wangu na walemavu

Jembebutu

Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
88
Reaction score
225
Salama wakuu,

Ninamshukuru Mungu mimi ni mzima na sina ulemavu wa aina yeyote. Nimekaa nikawaza kitu fulani baada ya kuona manyanyaso wanayoyapata walemavu kwenye suala la ajira hata kujiajiri.

Hii inatokana na maumbile au ulemavu wao na ndio sababu kubwa inawafanya wawe ombaomba mtaani au kushindwa kabisa kujikimu kimaisha. Nipo tayari kufanya lolote kwa kuwashirikisha hawa ndugu zangu tupate faida wote. Naomba mawazo yako.

Ni jambo gani au bishara gani ninaweza kufanya na walemavu ikatuingizia pesa?
 
Kama mm ninunulie bajaji ya abiria tufanye kazi nipo serious au carry
 
Kama unamaanisha njoo pm plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…