Nataka kusoma BSc in Health Information Science

Nataka kusoma BSc in Health Information Science

Mellius

New Member
Joined
Mar 21, 2024
Posts
2
Reaction score
1
Naomba kuuliza mwenye ana details za kutosha kuhusiana na Bachelor of Science in Health Information Science pamoja na soko lake pia likoje.

Nilitaka kusoma hiyo bachelor ya HIS.
 
Naomba kuuliza mwenye ana details za kutosha kuhusiana na Bachelor of Science in Health Information Science pamoja na soko lake pia likoje.

Nilitaka kusoma hiyo bachelor ya HIS.
Unataka usome ili uuzike? Inshort bado haina muundo mpka sasa so huwezi ajiliwa kwa hiyo, waachieni in service wasome hiyo
 
Back
Top Bottom