Mellius New Member Joined Mar 21, 2024 Posts 2 Reaction score 1 Aug 6, 2024 #1 Naomba kuuliza mwenye ana details za kutosha kuhusiana na Bachelor of Science in Health Information Science pamoja na soko lake pia likoje. Nilitaka kusoma hiyo bachelor ya HIS.
Naomba kuuliza mwenye ana details za kutosha kuhusiana na Bachelor of Science in Health Information Science pamoja na soko lake pia likoje. Nilitaka kusoma hiyo bachelor ya HIS.
Mr DIY JF-Expert Member Joined Dec 24, 2016 Posts 1,188 Reaction score 2,553 Sep 13, 2024 #3 Mellius said: Naomba kuuliza mwenye ana details za kutosha kuhusiana na Bachelor of Science in Health Information Science pamoja na soko lake pia likoje. Nilitaka kusoma hiyo bachelor ya HIS. Click to expand... Unataka usome ili uuzike? Inshort bado haina muundo mpka sasa so huwezi ajiliwa kwa hiyo, waachieni in service wasome hiyo
Mellius said: Naomba kuuliza mwenye ana details za kutosha kuhusiana na Bachelor of Science in Health Information Science pamoja na soko lake pia likoje. Nilitaka kusoma hiyo bachelor ya HIS. Click to expand... Unataka usome ili uuzike? Inshort bado haina muundo mpka sasa so huwezi ajiliwa kwa hiyo, waachieni in service wasome hiyo
kruzostom JF-Expert Member Joined Sep 6, 2024 Posts 310 Reaction score 419 Sep 13, 2024 #4 Ulichonacho ndo tunataka