Nataka kusoma Bsc. in Urban and Regional Planning ila kada yangu ni Ualimu - nifanye nini?

Nataka kusoma Bsc. in Urban and Regional Planning ila kada yangu ni Ualimu - nifanye nini?

Edgar 8900

Member
Joined
Jun 8, 2022
Posts
24
Reaction score
9
Nataka kusoma kozi ya bachelor of science in urban and regional planning kada yangu ni mwalimu nifanyeje? Nimepata kibali cha kwenda kusoma.

Nisaidieni.
 
Nataka kusoma kozi ya bachelor of science in urban and regional planning kada yangu ni mwalimu nifanyeje? Nimepata kibali cha kwenda kusoma nisaidieni.
Ndugu mwalimu?
Nachokushauri Mimi kama mtumishi mwenzako FATA NDOTO ZAKO.

Mi binafsi kulingana na changamoto ya kukosa wazazi, shangazi/mlezi wangu alinipeleka kusoma diploma ambayo hata sikuipenda.

Ila ile diploma ilinipatia post serikalini na nilivyofika kazini na wakati wa kwenda chuo ulipo fika nilienda KUSOMA ILEILE COURSE AMBAYO ILIKUA NDIO NDOTO YANGU.

Maana form six nilifaulu ila mlezi alikosa ada ya kunipeleka UDSM kusoma Bachelor.
Ila kupitia mshahara wangu nilikwenda kutimiza ndoto zangu.

Nakushauri na wewe fata ndoto zako.

Kwakuwa umesema huutaki Tena ualimu then JIULIZE, KABLA MAISHA HAYAKUKULOGA ULITAKA KUWA NANI?

Mi binafsi nilitamani masomo ya biashara na sasa Nina vyeti vyake.

#YNWA
 
Apply hiyo kozi iko Ardhi ukikoswa jaribu na Mipango Dodoma kama kuna kozi kam HiYo
 
Usiwe unapenda kujiuliza uliza ukitaka kufanya jambo.Wahi haraka sana.Kuna mwanangu alisoma DS Udom wavimba macho wakamwambia ya kishoga hiyo .Napoandika sasa hivi nakuhakikishia mwana ana hela.Sisi tumebaki kuzomewa na picha ya Hangaya kila siku.Ukimaliza itakuwa ni simu moja tu tukutane benki.
Wasalaam,
Mwalimu wa muziki&mapenzi.
 
Dunia simama nishuke, yaan kuna course hadi za kishoga.
Kheeeh hatareeeeeh.
 
Kheeeeeh kumbe huo ushoga mna utamka kila siku, ila hampendi kuusikia? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We ni shoga?!
 
Back
Top Bottom