surubu kwetu
Member
- May 13, 2014
- 59
- 12
Ndugu zangu naombeni msaada wa kunisaidia nipate chuo na nianze ngazo ipi kulingana na point zangu mm nimeitimu 2013 nikapata division four ya point 18 nilikuwa nachukua PCM physic(F) chemistry(E) maths(S) ma Gs (s) kwa upande wa olevel nilipata divisipn two physic (B) chemistry(B) civics(B) na mengine yaliyobaki C naombeni nifanyeje nipate chuo kizur na course ipi unanishaur nichukue nategemea msaada wenu ndugu