surubu kwetu
Member
- May 13, 2014
- 59
- 12
Kasome diploma ya engineering yoyote pale arusha tech tena kwa kua ulifaulu o level unapata sponsor ya serikali utalipa kidogo tuu ila ni kwa mwaka kesho sasa hivi umechelewaNdugu zangu naombeni msaada wa kunisaidia nipate chuo na nianze ngazo ipi kulingana na point zangu mm nimeitimu 2013 nikapata division four ya point 18 nilikuwa nachukua PCM physic(F) chemistry(E) maths(S) ma Gs (s) kwa upande wa olevel nilipata divisipn two physic (B) chemistry(B) civics(B) na mengine yaliyobaki C naombeni nifanyeje nipate chuo kizur na course ipi unanishaur nichukue nategemea msaada wenu ndugu
kwa hiyo nikiomba mwakan naweza kupata nafasi na hiyo sponsor ya serikali unaomba tu au kuna vigezo vinavyotolewa na serikali nisaidie nijiandae mwakanKasome diploma ya engineering yoyote pale arusha tech tena kwa kua ulifaulu o level unapata sponsor ya serikali utalipa kidogo tuu ila ni kwa mwaka kesho sasa hivi umechelewa
kwa hiyo unanishauri nirisiti kwan siwez kupata chuoacha kukata tamaa, kuanzia mwaka huu na kuendelea watu wanafaulu sana mana iyo S yako ya maths ungekua mwaka huu ni D au C. So ukirisit unafaulu kaka tena 100%