Nataka kusoma digrii online

JIWE2

Senior Member
Joined
Sep 17, 2010
Posts
125
Reaction score
18
Habari wana JF,

Tafadhali naomba yeyote mwenye ufahamu huo anisaidie kwa kunijulisha taasisi za elimu zinazoaminika ambapo naweza kujiunga na kusoma kozi niitakayo online. interest yangu ni kwenye masuala ya sheria,mazingira,mipango na uchumi.
 
Anza na jf tuangalie utaiweza online ama lah!!!
 
Wewe kweli utingo...umekuwa na msaada sana kwa abiria kama mimi. Wewe utakuwa utingo wa ndege tu. Maana utingo wa vyombo vingine vya usafiri hawana msaada

karibu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…