Nataka kusoma diploma ya nursing na baadae

Javis Elias Balilemwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
489
Reaction score
67
Nataka nikasome diploma ya nersing na badae nibadilishe kozi nichukue degree ya kozi kama MD,Lab technology etc. nikifika university. Je inawezekana wakuu.
 
Nataka nikasome diploma ya nersing na badae nibadilishe kozi nichukue degree ya kozi kama MD,Lab technology etc. nikifika university. Je inawezekana wakuu.
Ngoja upewe ushauri kijana,usijeenda kuhatarisha maisha ya watu na yako pia..
 
Nataka nikasome diploma ya nersing na badae nibadilishe kozi nichukue degree ya kozi kama MD,Lab technology etc. nikifika university. Je inawezekana wakuu.

Mpka leo haujapata muafaka?? Ile kozi yako ya clinical medicine hauitaki tena mkuu.?
 
Dah! hta me nataman make mshahara wa RN na clinician medicine n the same!
 
Competition nimeamua niachane nayo

Kwahiyo unataka kwenda nursing? But vyuo vya government ambavyo havina competition kubwa sana kwa kozi ya clinical medicine mfn cotc kigoma, cotc maswa, cotc songea.. Jaribu hivyo ila na wewe umezembea tangu kipind kile bado tu haujapata muafaka?? Chelewa Chelewa usajili ufungwe
 
Nataka nikasome diploma ya nersing na badae nibadilishe kozi nichukue degree ya kozi kama MD,Lab technology etc. nikifika university. Je inawezekana wakuu.

Boy kamaunataka nursing ipo mbeya operating theatre consultant hospital washkajii wanatoka competency sana na mwendo wa class wodini class wodini mbakaa udatee mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…