BigBaba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,908
- 9,040
Samahanini wadau kwa yoyote ambae amesoma English course pale British council.
Wenye idea ya hapo nataka kusoma English course, kuongea. Kuandia kiingereza naweza kukuandikia kitabu kizima insu kuongea .
1. Taratibu zikoje?
2. Ada yake imekaaje?
3. Muda wa kusoma nk
Wenye idea ya hapo nataka kusoma English course, kuongea. Kuandia kiingereza naweza kukuandikia kitabu kizima insu kuongea .
1. Taratibu zikoje?
2. Ada yake imekaaje?
3. Muda wa kusoma nk